Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
03 May

STAA DIAMOND PLATNUMZ ATOA UJUMBE HUU KWA WANAOTAKA KUMUACHANISHA NA ZARI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Kumekuwa na taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii juu ya Diamond zikisema anachepuka na Video Qeen wa ngoma mpya ya Raymond Tip top iitwayo 'Kwetu' aitwaye Lyyn.Baada ya Diamond Platnumz kukaa kimya kwa muda wa wiki kadhaa hivi, siku ya Jana kupitia akaunt yakeya Instagram aliwajibu wanaojaribu kumuachanisha na mpenzi wake Zari kwa kuandika maneno haya "Roho ya Simba....wanajaribu ila hawatokaa waweze...nakupenda mpaka naugua!"

STARZTZ

STAA DIAMOND PLATNUMZ ATOA UJUMBE HUU KWA WANAOTAKA KUMUACHANISHA NA ZARI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974