Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
07 May

SHETA AKANUSHA TAARIFA ZA KUWA DIAMOND ALIWAHI KUTOKA NA MKEWE..

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Sheta amekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kuwa Diamond amewahi kutoka kimapenzi na mama Qayllah. wiki kadhaa zilizopita Sheta alifuta picha zote kwenye akaunti yake ya Instagram uku akiwaacha mashabiki wake katika hali ya sintofahamu kuokana na kitendo hicho. amesema kuwa habari zilizoenea mitandaoni hazina ukweli wowote.

STARZTZ

SHETA AKANUSHA TAARIFA ZA KUWA DIAMOND ALIWAHI KUTOKA NA MKEWE..
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974