Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
09 May

SABABU YA WABUNGE KUOMBA RUSHWA AELEZA MAZITO...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Spika wa Bunge Job Ndungai, ametaja sababu zinazochochea wabunge kujiingiza kwenye vitendo vya rushwa, ni presha kutoka kwa wananchi inayotokana na kutakiwa kuchangia masuala mbalimbali katika majimbo yao.Spika huyo amewatangazia rasmi wabunge kuwa ofisi ya Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa Umma inatarajia kuwasilisha bungeni Muswada wa Sheria utakaotenganisha uongozi na biashara.

STARZTZ

SABABU YA WABUNGE KUOMBA RUSHWA AELEZA MAZITO...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974