Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
27 May

RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AWATAKA WAKANDARASI WAZAWA KUWA WAZALENDO...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoe na wakandarasi Nchini wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa mashauriano wa Bodi ya usajili ya Makandarasi (CRB) ambapo aliwataka wakandarasi wazawa kuwa Wazalendo na Nchi yao ikiwemo kuepuka vitendo vya rushwa katika maeneo ya kazi.

STARZTZ

RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AWATAKA WAKANDARASI WAZAWA KUWA WAZALENDO...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974