Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
01 May

Mzee Majuto ndio kastaafu kuigiza bongo movie?

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Mzee Majuto ndio kastaafu kuigiza bongo movie?

‘Gwiji la sanaa ya maigizo nchini Amri Athmani aka Mzee Majuto ametangaza rasmi kustaafu kuigiza na kutumia muda wake kumtumikia mola wake. Majuto amekuwa akifanya sanaa hii ya maigizo kwa muda mrefu na alianza kupata umaarufu mwanzoni mwa miaka ya 90’
Hizi ni bahadhi ya muvie alizowahi kufanya:
Ndoa ya Utata |Daladala |Nimekuchoka |Mbegu |Zebra |Shikamoo Mzee |Tabia |Utani |Tikisa |Trouble Maker |Gundu |Kizungunguzu |Shoe Shine |Street Girl |Faithful |Mtego wa Panya |Boss |Back with Tears |Sikukuu ya Wajinga |Nyumba Nne |Chips Kuku |Kitu Bomba |Ndoto ya Tamaa |Lakuchumpa |ATM |
Bishoo |Tupo Wangapi |Moto Bati |Varangati |Out Side |Pusi na Paku |Juu kwa Juu |Swagger |Oh Mama |Jazba |Mke wa Mtu Sumu |Mbugila |Kidumu |Mkali Mo |Mpela Mpela |Utanibeba |Babatan |Mjomba |Msela wa Manzese |Karaha |Mpango Sio Matumizi |Mume Bwege |Shuga Mammy |Embe Dodo |
Nakwenda Kwa Mwanangu |Seaman |Naja Leo Naondoka Leo Tanga |Mgeni Njoo |Kuwadi |Kulipa Tabu |
Uso wa Mbuzi |Machimbo |Fundi Feni |Mwizi wa Kuku |Mtu Mzima Hovyo |Vituko Show Vol. 10 |Bettery Low |Brothers |Alosto |Back from New York |Kipofu |Koziman Vol 21 |After Money |Talaka Yangu |
Gereji |Welcome Back |Mshamba |Pedeshee |Waiter |Inye Plus |Inye Gwedegwede |Inye Vol.1

STARZTZ

Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974