Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
18 May

MREMBO FAIZA ALLY AFUNGUKA MENGI ASEMA TOKA AACHANE NA SUGU...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Msanii wa filamu na mama wa mtoto mmoja aitwae Sasha. Faiza Ally amedai hajawahi kufanya au kutoka kimahaba na Mtanzania yeyote toka alipoachanana mume wake Joseph Mbilinyi 'Sugu' kwa madai kuwa anaogopa kudhalilishwa.

STARZTZ

MREMBO FAIZA ALLY AFUNGUKA MENGI ASEMA TOKA AACHANE NA SUGU...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974