Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
10 May

MAMA WA SUPER STAA SNURA AANGUKA GHAFLA BAADA YA CHURA KUFUNGIWA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Ikiwa wabongo wamecharuka mtandaoni wakiuzungumzia wimbo wa chura kwa namna mbalimbali wimbo wa Chura, kuna habari ya kuhuzunisha kuwa mama mzazi wa msanii huyo, Doto Sanzegara alijikuta akianguka kwa mshutuko baada ya Serikali kutangaza kumzuia mwanaye huyo kujihusisha na kazi ya sanaa.

STARZTZ

MAMA WA SUPER STAA SNURA AANGUKA GHAFLA BAADA YA CHURA KUFUNGIWA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974