Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
28 May

MAKAHABA WA DAR WAZIDI KUMTIBUA RC MAKONDA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Makahaba wa Dar es salaam wameonekana kuwa ving'ang'anizi baada ya Agizo la Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili yao 'Makahaba' kuondoka kwenye masoko yao Mitaani linashindikana baada ya kuonekana kwenye vijiwe vyao tena.

STARZTZ

MAKAHABA WA DAR WAZIDI KUMTIBUA RC MAKONDA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974