Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
03 May

MAHAKAMA YA KISUTU IMETOA HATI YA KUKAMATWA KWA MEYA WA KONONDONI, KISA?? SOMA HAPA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Mei 2, 2016 Mahakama ya Mkazi Kisutu ametoa maamuzi ambayo yameingia kwenye headlines, baada ya kuamua kutoa hati ya kutaka Mikono ya sheria imkamate Meya wa Kinondoni Boniface Jacob kutokana na kushindwa kufika Mahakamani kwa kwa tuhuma za kosa la kumpiga mwandishi wa Gazeti la UHURU Christopher Lissa.

STARZTZ

MAHAKAMA YA KISUTU IMETOA HATI YA KUKAMATWA KWA MEYA WA KONONDONI, KISA?? SOMA HAPA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974