Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
09 May

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO MAY 9, 2016

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MAGAZETI

Kama kawaida yangu mtu wangu kukusogezea post za Magazeti kila siku, na leo naendelea kwa kukusogezea post za habari mbalimbali kutoka katika Magazeti ya Tanzania leo. Nikianza na Gazeti la IJUMAA lina habari inayosema "Binti kumg'oa Zari kwa Diamond afunguka"na"Mama Snura aanguka gafra", Gazeti la SPOTI lina habari inayosema "Simba yavunja timu nzima", Gazeti la MAJIRA lina habari inayosema "Mapya yaibuka", Gazeti la UHURU lina habari inayosema "Vigogo wabanwa",[...]

STARZTZ

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO MAY 9, 2016
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974