Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
12 May

LULU AANIKA SIRI YA KUTEMBEA NA WANAUME WALIOMZIDI UMRI ASEMA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Kunako Sinema za kibongo funguka mahabati, Elizabeth Michael 'Lulu' amefunguka akisema anapenda kuwa na wanaume awanaomzidi umri kwasababu tatu, alisema napenda kuwa na wanaume wanaonizidi umri kwasababu "wanakuwa kama kaka, baba na mpenzi" aendelea kwa kusema hawezi kuwa na mwanaume ambaye analingana naye umri kwani hatakuwa na sifa hizo.

STARZTZ

LULU AANIKA SIRI YA KUTEMBEA NA WANAUME WALIOMZIDI UMRI ASEMA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974