Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
27 May

KATIKA HEADLINES LEO NI KUHUSU CHID BENZ KUTOROKA SOBER HOUSE...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Wakati wadau wa Muziki wakifafanuakuwa msanii wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwilo 'chid Benzi' yuko katika kituo cha kusaidia waathirika wa madawa ya Kulevya 'Sober House' kilichopo Bagamoyo Mkoani Pwani, inadaiwa Chid Benz ashatoroka kitambo na yupo kitaani.

STARZTZ

KATIKA HEADLINES LEO NI KUHUSU CHID BENZ KUTOROKA SOBER HOUSE...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974