Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
13 May

HAYA NI MAJANGA YALIYOMPATA LINAH SANGA MTANDAONI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Msanii wa Bongo fleva Linah a.k.a ndege mnana amefunguka moja kati ya vitu ambavyo hawezi kuvisahau katika maisha yake yote ni pamoja na hii, alisema wakati wako shule yeye na mwenzie walifanya tukio moja ambalo hatalisahau ambalo alisema walikuwa na tabia ya kujaribu kupiga namba tofauti tofauti ili kutafuta mpenzi, akasema "nilifanikiwa kumpata mwanaume ambaye nikawa ninawasiliana nae lakini siku tunaenda kuonana nae tulikutana na kitu hicho ambacho siwezi kukisahau maana tulikutana na mtu ambaye hatukumtegemea kutokan na sauti yake ambavyo tulikuwa tuisikia katika simu tukaamua kutokujitokeza" Lina. inamaana waliyeya!!!

STARZTZ

HAYA NI MAJANGA YALIYOMPATA LINAH SANGA MTANDAONI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974