Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
28 May

HARMONIZE AINUSA JERA KWA JAMBO HILI ZITO DHIDI YA WEMA SEPETU...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Endapo mkali wa sinema za kibongo Wema Issac Sepetu 'Madam' atalivalia njuga swala la kudhalilishwa mtandaoni na msanii alieko chini ya ya Lebo ya Wasafi Crassic Harmonize, jamaa huyo atakwenda jera miaka kadhaa na faini juu. Chanzo ni kwamba Msanii huyo Harmonize na wasanii wenzake juzi kati hivi walikuwa katika eneo ambalo halikujulikana ni wapi, walijichukua clip (kipande cha video) kwa style ya kujipiga selfie, huku Harmonize akiimba wimbo wa Msanii Stamina uitwao 'Mwambie mwenzio' amabapo kwenye mistari hiyo dogo alisherehesha kwa kusema kuwa 'Usitoe mimba ukaja kulia kama (Wema) Sepetu'. Clipi hiyo alianza kuiona mama Wema na baadae Wema alipoiona alisikitika sana na kupost picha akiwa na mama ake akiandika maneno akisema ipo siku na mimi ntakuja kuitwa mama[...]

STARZTZ

HARMONIZE AINUSA JERA KWA JAMBO HILI ZITO DHIDI YA WEMA SEPETU...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974