Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

03 May

"Black is not beautful" RAPA LIL' KIM AJIACHIA NA PICHA ZA UTUPU WAHENGA WAYASEMA HAYA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Rapa lil' Kim ametajwa kuwa miongoni mwa watu wanaotumika kama ushahidi kuwa rangi Nyeusi sio uzuri 'Black is not beautful' Kauli hio imetolewa na wachambuzi wa mambo ya watu weusi na harakati za binadamu na kusema hatua alizochukua Rapa mkubwa duniani Lil' Kim kubadilisha muonekano wake na kuibrichi ngozi yake ili kuwa mweupe zimethibitisha "Black is not beautful"

STARZTZ

"Black is not beautful" RAPA LIL' KIM AJIACHIA NA PICHA ZA UTUPU WAHENGA WAYASEMA HAYA...
"Black is not beautful" RAPA LIL' KIM AJIACHIA NA PICHA ZA UTUPU WAHENGA WAYASEMA HAYA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974