Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
11 May

BIDII KAZINI YAZAA MATUNDA KWA BARAKA DA PRINCE ...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Baraka Da Prince ni miongoni mwa wasanii wa kiume wa bongo fleva ambao nyimbo zao zinachezwa sana kwenye Radio ambapo kwa sasa yuko mpaka kwenye Top 10 na Top 20 kupitia hit single 'siwezi' Ni miongoni mwa wasanii waliopata mialiko ya kutosha kwenye show mbalimbali za Dar es salaam na nje ya Dar, kazi na jitihada zake zimepelekea Bongofreva kumzawadia gari aina ya Lexus.

STARZTZ

BIDII KAZINI YAZAA MATUNDA KWA BARAKA DA PRINCE ...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974