Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
21 Apr

YOUNG D AWACHEFUA MASHABIKI

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Mkali wa Muziki wa Hip Hop, David Genzi ‘Young D’ amezua kioja cha aina yake baada ya kuitwa jukwaani kuimba na kuanza kuleta pozi bila sababu za msingi, jambo lililowakera mashabiki.
Tukio hilo lilijiri katika Ukumbi wa Maisha Basement, Kijitonyama, Dar ambapo bwana mdogo huyo alipoitwa jukwaani, aligoma na kuendelea kupiga tungi kwa takriban dakika ishirini.
Baada ya kubembelezwa sana alikubali kupanda jukwaani lakini kwa dakika chache.

STARZTZ

YOUNG D AWACHEFUA MASHABIKI
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974