WASTARA ATOLEWA MAHARI SH. MILION 5.FUNGUA HAPA UISOME HABARI KAMILI MTU WANGU..
Baada ya siku chache staa wa sinema za Bongo Wastara Juma kulipotiwa kummwaga aliyekuwa mume wake, Sadifa Juma ambayepia ni Mbunge wa jimbo la Donge kwa Chama cha Mapinduzi, kuna habari kuwa, mtalikiwa huyo ametolewa mahari kiasi kikitajwa kuwa ni shilingi Milioni 5. Amani Lamsaka Muoaji Bwana mdogo Juma Mbega ambaye ni mcheza filamu na mfanyabiashara wa jiji la Dar, anataka kumuoa Wastara.