Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
24 Apr

UKAWA WAACHA VUMBI BUNGENI. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Mjadala wa Hotuba ya bajeti wa Ofisi ya Waziri mkuu juzi uligeuka kuwa uwanja wa maneno ya kuudhi,kebehi na kejeli dhidi ya Wabunge wa Kambi ya Upinzani waliosusia kikao hicho, wakidai Serikali inaongozwa kwa matamko, kutoheshimu sheria kukandamiza Uhuru wa kupata habari.

STARZTZ

UKAWA WAACHA VUMBI BUNGENI. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974