Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
24 Apr

TANZANIA TUKIAMUA KUTOKOMEZA UCHAFU NCHINI TUANAWEZA. SOMA HABARI KAMILI

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Jiji la Dar es salaam ni miongoni mwa Majiji ambayo yanaongoza kwa Uchafu Tanzania, kutokana na hari ya Uchafu inavozidi kuwa kubwa kila siku kwenye jiji hili imepelekea kutokea kwa kuwepo kwa magonjwa ya Mlipuko ikiwemo Kipindupindu, watu wengi wamepoteza uhai wao kwasababu ya matatizo kama hayo. Niwajibu wetu sasa uamua na kutimiza kudidimiza swala zima la Uchafu.

STARZTZ

TANZANIA TUKIAMUA KUTOKOMEZA UCHAFU NCHINI TUANAWEZA. SOMA HABARI KAMILI
TANZANIA TUKIAMUA KUTOKOMEZA UCHAFU NCHINI TUANAWEZA. SOMA HABARI KAMILI
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974