Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
27 Apr

STARS KUJIPIMA NA HARAMBEE STARAS MEI 29..

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na Bia Kilimanjaro Premium Lager,inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa Kimataifa na Timu ya Taifa ya Kenya (Harambee Stars) Mei 29 2016.

STARZTZ

STARS KUJIPIMA NA HARAMBEE STARAS MEI 29..
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974