Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
16 Apr

SIMBA KUSHIRIKI KATIKA KOMBE LA NILE BASIN. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imethibitisha kushiriki Michuano ya Kombe la Nile Basin Club Championship, inayoandaliwa na Baraza la vyama vya Soka Afrika Mashariki na kati (CECAFA) itakayoanza kutimua vumbi Mei 22, 2016 Nchini Sudan.

STARZTZ

SIMBA KUSHIRIKI KATIKA KOMBE LA NILE BASIN. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974