Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
06 Apr

SERIKALI YATILIA UMUHIMU KUCHIMBA GRAFITE.NIMEKULETEA HABARI KAMILI HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Waziri wa Nishati na Madini,Profesa Sospeter Muhongo ameeleza kuwa Serikali inatoa kipaumbele katika Uchimbaji wa Madini ya Graphite Nchini kutokana na umuhimu wake Duniani ikiwemo kutumika kama Malighafi ya kutengeneza Betri za Simu, Kalamu za Risasi na Computer mpakato.

STARZTZ

SERIKALI YATILIA UMUHIMU KUCHIMBA GRAFITE.NIMEKULETEA HABARI KAMILI HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974