Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
24 Apr

NGULI WA MUZIKI WA CONGO PAPA WEMBA AFARIKI DUNIA.SOMA HABARI KAMILI

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Mwanamuziki Mkogwe wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Papa Wemba amefariki Dunia leo Jumapili.Taaria za kifo chake zinasema amefariki akiwa anatumbuiza huko Abidjan, Ivory Coast akiwa katika tamasha la muziki la Anoumabo (FEMUA).

STARZTZ

NGULI WA MUZIKI WA CONGO PAPA WEMBA AFARIKI DUNIA.SOMA HABARI KAMILI
NGULI WA MUZIKI WA CONGO PAPA WEMBA AFARIKI DUNIA.SOMA HABARI KAMILI
NGULI WA MUZIKI WA CONGO PAPA WEMBA AFARIKI DUNIA.SOMA HABARI KAMILI
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974