Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
29 Apr

NEY WA MITEGO: NAONYESHA MALI ZANGU KUWAPA NGUVU VIJANA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Msanii Ney wa Mitego amesema mala nyingi yeye hupenda kuonesha vitu anavyomiliki zikiwemo Gari, Nyumba hata Pesa kwa lengo kuu moja, akidai anafanya hivyo kuwatia moyo vijana walio kata tamaa akiwaonyesha ata yeye alitokea hukohuko mpaka akatoboza.

STARZTZ

NEY WA MITEGO: NAONYESHA MALI ZANGU KUWAPA NGUVU VIJANA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974