Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
05 Apr

MVUA YASIMAMISHA SAFARI KWA SAA TISA.NIMEKULETEA HABARI HIYO KAMILI HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Magari zaidi ya 1,500 jana yalikwama kwa saa tisa katika eneo la Chalinze Nyama, Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma na kusababisha adha kubwa kwa abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es salaam kwenda kanda ya Ziwa na wale wa kutoka Dodoma kwenda Morogoro na Dar es salaam.

STARZTZ

MVUA YASIMAMISHA SAFARI KWA SAA TISA.NIMEKULETEA HABARI HIYO KAMILI HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974