MTOTO MWENYE UMRI WA MIAKA 16 AONGEA KWA KUJIAMINI MBELE YA VIONGOZI WA DUNIA WA UMOJA WA MATAIFA...
Mtoto Mtanzania mwenye umri wa miaka 16 Getrude Clement kutokea Mwanza amehutubia mbele ya viongozi mbalimbali wa Dunia kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa akiwa mwenye kujiamini katika jukwaa linalotazamwa na na Viongozi mbalimbali Mataifa zaidi ya 150 yaliyotia saini ya kukubaliana na mabadiliko ya Tabia ya Nchi.