Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
22 Apr

MAPENZI YANAGOMBANISHA MASTAA KATIKA KISIMA CHA MUZIKI WA DANSI. HIKI NDICHO KILICHOTOKEA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

"Mapenzi yanauma" ndiyo kauli ya April 21, 2016. Hii yote ni baada ya Chaz Baba kumchukulia Khalid Chokoraa mpenzi wake na stori kamili unaipata hapa STARZTZ
>>"Kusema ukweli Charz Baba ni rafiki angu sana lakini kitendo alichokifanya sio kitu kizuri kumchukua mpenzi wangu ambaye anajua kabisa na barua nimeshapeleka kwao kwa hiyo kitendo alichokifanya ni cha kinyama sana cha kunizunguka mimi kwa mke wangu mtarajiwa":- Khalid Chokoraa >>'lakini na mimi nimeamua kumuonesha kama mimi ni mtoto wa mjini nimemchukua mke wake wa ndoa alafu nikaenda kukaa nae sehemu tukaenjoy sana mimi nimemuonesha kwamba kitu alichokifanya hata mimi naweza nikakifanya':- Khalid Chokoraa

STARZTZ

MAPENZI YANAGOMBANISHA MASTAA KATIKA KISIMA CHA MUZIKI WA DANSI. HIKI NDICHO KILICHOTOKEA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974