Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
29 Apr

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO APRIL 29, 2016..

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MAGAZETI

Kama kawaida yangu kila siku kukudokeza baadhi ya HABARI zilizojitokeza katika Magazeti mbalimbali ya Tanzania. Nikianza na Gazeti la TANZANIA DAIMA lina habari inayosema "JP amponza bosi wa TIC", Gazeti la BINGWA lina habari inayosema "Mayanja aiandalia Azam Suprise", Gazeti la IJUMAA lina habari inayosema "Mama Diamond amfyatukia Zari", na katika GAzeti la CHAMPIONI lina habari inayosema "Ngoma, Kamusoko out Yanga", Gazeti la MTANZANIA lina habari inayosema "Escrow mpya",[...]

STARZTZ

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO APRIL 29, 2016..
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974