Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
28 Apr

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO APRIL 28, 2016

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MAGAZETI

Nikianza kwa kukusogezea post za habari zilizo jitokeza katika Magazeti ya Tanzania na kuanza na Gazeti la SOKA lina habari inayosema "Hakuna kulala Msimbazi", Gazeti la BINGWA lina habari inayosema "Yanga hii!!! mtanyamaza tu", Gazeti la MWANA SPOTI lina habari inayosema "Redondo, Banka waibukia Simba, Mayanja aonywa", Katika Gazeti la DIRA lina habari inayosema "Bosi MSD hachomoki", Gazeti la HABARI LEO limeandika habari inayosema "Singapore kuboresha Bandari ya Dar",Huku katika Gazeti la TANZANIA DAIMA likiwa na habari inayo sema "Siri za Bunge, Serikali zavuja",Gazeti la UHURU lina habari inayosema "MTANZANIA lina habari inayosema "CAG azidi kuanika Madudu"[...]

STARZTZ

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO APRIL 28, 2016
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974