Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
19 Apr

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOANDIKA LEO. INGIA HAPA USOME

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MAGAZETI

Katika Gazeti la UHURU kuna habari inayosema"Wabunge wabanwa". Na katika Gazeti la MAJIRA kuna habari inayosema "Ufisadi waibuliwa jengo la Machinga". Katika Gazeti la TANZANIA DAIMA kuna habari inayosema "Lugumi giza nene Bungeni". Gazeti la HABARI LEO limeandika "Serikali yazibana Shule binafsi". Na katika GAzeti la MTANZANIA limeandika Habari inayosema "Kisena wa UDA alipuliwa". Alikadharika katika Gazeti la MWANANCHI lina habari inayosema "Moto wa Dk Magufuli watua Mkutano wa Bajeti Dodoma".

STARZTZ

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOANDIKA LEO. INGIA HAPA USOME
MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOANDIKA LEO. INGIA HAPA USOME
MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOANDIKA LEO. INGIA HAPA USOME
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974