Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
26 Apr

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOANDIKA LEO APRIL 26, 2016. SOMA MAGAZETI HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MAGAZETI

Kama kawaida ninaanza kwa kukusogezea posti za habari tofautitofauti kutoka katika Magazeti Mbalimbali ya Tanzania nikianza na Gazeti la MTANZANIA lina habari inayosema "Wizi kila kona", Gazeti la UWAZI lina habari inayosema "Mbongo anaswa na Unga wa Bil.10", Gazeti la TANZANIA DAIMA lina habari inayosema "Majipu matupu", na Katika GAzeti la MWANA SPORTI lina habari inayosema "Simba yasaka ugomvi" na Katika Gazeti la MAJIRA limeandika habari inayosema "JPM awaumbua watumishi hewa"[..]

STARZTZ

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOANDIKA LEO APRIL 26, 2016. SOMA MAGAZETI HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974