Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
29 Apr

MADAKTARI WA UPASUAJI WA WATOTO WENYE VICHWA VIKUBWA WATIA KAMBI MWANZA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Jopo la Madaktari Bingwa kutoka taasisi ya Mifupa na mishipa ya Fahamu (MOI) iliyopo Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam wametia kambi Mwanza kwaajili ya Upasuaji wa watoto wenye matatizo ya Vichwa vikubwa na Mgongo wazi huduma ambayo itatolewa kipindi cha siku nne na BURE>

STARZTZ

MADAKTARI WA UPASUAJI WA WATOTO WENYE VICHWA VIKUBWA WATIA KAMBI MWANZA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974