Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
07 Apr

JOKATE YUPO KIKAZI ZAIDI, HATOONEKANA TENA KWENYE MEDIA. NIMEKUSOGEZEA POST HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Pamoja na kuzungumzia ishu yake ya kupostiwa kwenye account ya Instagram ya Mwigizaji na Mwimbaji wa longtime Tyrese, Jokate amesema "Hata ukiangalia page zangu za social media Instagram sipost Mchumba,wazazi na ndugu kiviile kwasababu najua ukiwapost unawaweka kwenye situation ya watu kuanza kuwaongelea na unajua watu wengi online wanaweza kuongea kitu chochotekile kwahyiyo napenda kuwalinda watu ambao wako kalibu yangu"

STARZTZ

JOKATE YUPO KIKAZI ZAIDI, HATOONEKANA TENA  KWENYE MEDIA. NIMEKUSOGEZEA POST HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974