Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
02 Apr

HATIMAE DK JOHN MAGUFULI AWEKA MSWAHARA WAKE ADHARANI. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Baaada a baadhi ya Wabunge wa vyama vya Upinzani Tanzania kumtaka Rais Magufuli kuanika hadharani mshahara wake pamoja na makato ya Kod, Rais Magufuli aamua kuuweka wazi mshahara wake akiwa Nyumbani kwake kupitia Clouds kwenye kipindi cha 360Clouds na kusema mshahara wake ni Tsh. Milion 9.5 na aksema yupotayari kuonyesha Nyaraka za malipo ya mshahara wake na kutoa mchanganuo akimaliza mapumziko Mkoani Geita.

STARZTZ

HABARI
HABARI

HABARI

Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974