Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
25 Apr

Harambee kubwa yafanyika Houston kwaajili ya Marehem Andrew Sanga. soma habari kamili hapa

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Jumuiya ya Watanzania wanaoishi katika jiji la Houston, Texas na Miji mingine ya jirani jana jioni (Jumamosi taraha 24/4/2016) katika ukumbi wa siena ulioko mitaa ya Bissonet, iifanya Harambee iliyovunja rekodi kwa ajili ya uchangisha fedha za kurudisha ndugu yao kipenzi Andrew Niky Sanga aka Drew.

STARZTZ

Harambee kubwa yafanyika Houston kwaajili ya Marehem Andrew Sanga. soma  habari kamili hapa
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974