Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
29 Apr

ESCROW MPYA. SOMA HAPA KUPATA HABARI HIYO KAMILI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Kutoka Bungeni Dodoma Mkutano wa Bunge umeendelea tena leo April 28, 2016 ambapo Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amewasilisha Bungeni ripoti mpya ya tuhuma za IPTL, Tegeta Escrow pamoja na Standard Bank ya Uingereza. Katika mambo ambayo Zitto ameyazungumzia ni kuhusu Takukuru na kesi za Ufisadi Nchini ikiwemo ya Ufisadi wa HatiFungani ya Tsh.1.2 trioni Standard Bank[...]

STARZTZ

ESCROW MPYA. SOMA HAPA KUPATA HABARI HIYO KAMILI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974