DAVIDO NA WIZKID WAKIWA PAMOJA. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Picha za Davido na Wizkid wakiwa pamoja sio picha zinazotekea au kupigwa kila siku, kumbuka wawili hawa wana beef ambapo mwaka mmoja uliopita Davido alinukuliwa akisema "Wizkid hanipendi .. toka nimeanza kujulikana kimuziki nimekuwa nikilinganishwa au kupambanishwa na Wizkid, kitu ambacho watu hawakuwahi sikuwahi kuwa na tatizo nae na tulikuwa tunakutana backstage na Night club na tulikuwa poa tu"