CHICHARITO AZUNGUMZA HAYA KUHUSU LOUIS VAN GAAL. INGIA USOME HAPA
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United, Javier Hernandez Chicharito ambaye sasa ni anaichezea klabu ya Bayern Leverkusen ya Ujerumani, ameludi katika headlines baada ya kumzungumzia Kocha wa Man U Louis Van Gaal, Chercharito aliwahi kunukuliwa akisema alijitahidi kadri ya uwezo wake na angependa kundelea kubaki Man United lakin Louis Van Gaal hakuweza kukubali{..}