Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
21 Apr

BRIGHT ASEMA HAYA JUU YA YEYE KUWA NA NDOTO ZA KUMUOA VANESA MDEE. FUNGUA HAPA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Amefunguka kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Afrika Radio jana wakati akitambulisha wimbo wake mpya 'Nitunzie' aliomshirikisha Da Prince, Bright ambaye jina lake halisi ni Rashidi Said alisema hajali kuwa Vee Money yupo na Jux kwa sasa. Kauli ya Bright iligeuka kuwa 'Komedi' kwa watangazaji wa show hiyo "Apana msicheke kwasababu ni kitu ambacho naongea nipo serious kabisa" alisema..

STARZTZ

BRIGHT ASEMA HAYA JUU YA YEYE KUWA NA NDOTO ZA KUMUOA VANESA MDEE. FUNGUA HAPA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974