Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
26 Apr

AZAM NOMA YATINGA FAINAL. HABARI KAMILI HAPA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Wachezaji wa Azam wakishangilia baada ya jana kufanikiwa kuibuka na ushindi wa kuichapa Mwadui kwa Penalti 5-3 na kuibuka kidedea ushindi uliowapeleka moja kwa moja mpaka Fainali ya kombe la FA.

STARZTZ

AZAM NOMA YATINGA FAINAL. HABARI KAMILI HAPA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974