Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
22 Apr

AMAYAZUNGUMZA HAYA RAIS MAGUFULI JUU YA WANAOTUMBULIWA HADHARANI. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

April 21, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli alikutana na na wenyeviti, makatibu wa chama cha Mapinduzi CCM wa mikoa na Wilaya za Tanzania na Visiwani Ikulu jijini Dar es salaam kwaajili ya kutoa shukrani. katika mambo aliyozungumza Rais ni pamoja na haya majipu ya yanayotumbuliwa hadharani alisema"wanasema tunawanyanyasa sijui haki za Bnadamu eti kwasababu tunawatangaza hadharani kwahiyo wao walikuwa na haki mno kuwaibia watanzania hadharani lazima tuwatangaze hadharani, mateso waliyopata watanzania mamilioni kwasababu za kuibiwa na hawa wachache lazima na wao waanze kupata hayo mateso" Rais Magufuli

STARZTZ

AMAYAZUNGUMZA HAYA RAIS MAGUFULI JUU YA WANAOTUMBULIWA HADHARANI. SOMA HABARI KAMILI HAPA
AMAYAZUNGUMZA HAYA RAIS MAGUFULI JUU YA WANAOTUMBULIWA HADHARANI. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974