Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
23 Apr

ADELE NDIYE MWANAMUZIKI WA KIKE TAJIRI ZAIDI UINGEREZA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Kulingana na Jarida la kimataifa la Sunday Times Rich list, (Orodha ya Marajiri) staa wa R&B Adele anaye tamba na ngoma zake kibao ikiwemo na ile ya Hellow ndiye mwanamuziki tajiri wa kike wa kwanza Nchini Uingereza kwa sasa kwa kuwa na Utajiri unaofikia Euro Milion 85 ambayo ni sawa na Trioni 210za Kitanzania.

STARZTZ

ADELE NDIYE MWANAMUZIKI WA KIKE TAJIRI ZAIDI UINGEREZA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974