Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
29 Mar

MDUNDO WA VANESSA MDEE TAYARI UMEPOKELEWA KWENY KITUO KIKUBWA CHA TV. SOMA BARI KAMILI HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Jana March 28, 2016 Mdundo wa 'Nironge' uliofanywa na msanii Vanessa Mdee umefanikiwa kuchezwa kama Starter kwenye kituo kikubwa cha Kimataifa Nchini Ufaransa Trace Tv katika Account ya YouTUBE mdundo ulipandishwa March 24, 2016 na hadi leo hii una jumla ya Watazamaji 155,066.

STARZTZ

MDUNDO WA VANESSA MDEE TAYARI UMEPOKELEWA KWENY KITUO KIKUBWA CHA TV. SOMA BARI KAMILI HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974