Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
07 Mar

MADAKTARI 3, WAUGUZI 6 WATUMBULIWA MWANZA

Published by elipidius geofrey

Madaktari 3, Wauguzi 6 na watumish wengine wawili katika Hospitali ya Sekou Toure pamoja na ya Wilaya ya Nyamagana Butimba wamesimamishwa kazi kutokana na tuhuma mbalimbali ikiwemo vifo vyawatoto pacha na wajawazito

http://www.starztz.over-blog.com

Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974