Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
29 Mar

KLABU YA MBEYA CITY YAPINGA UVUMI UNAOMZUSHIA KASEJA KIFO. HABARI KAMILI NIMEKWANDIKIA HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya ambayo inachezwa na Goli kipa wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga Juma Kaseja, Mchana wa March 28 imeamua kuweka taarifa sawa kuhusiana na tetesi au uvumi uliokuwa umasambazwa mtandaoni kuhusu Kaseja. Mbeya City imetumia ukurasa wake wa Instagram, baada ya kuzipata zisizo za kweli kuhusu uvumi kuwa golikipa wao Juma Kaseja amefariki Dunia, Ukweli ni kuwa huo ni uzushi uliotungwa na watu, Juma Kaseja ni mzima na leo amefanya mazoezi na timu.

STARZTZ

KLABU YA MBEYA CITY YAPINGA UVUMI UNAOMZUSHIA KASEJA KIFO. HABARI KAMILI NIMEKWANDIKIA HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974