Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
25 Mar

JIPU JINGINE MOJA LATUMBULIWA. NIMEKUANDALIA HABARI KAMILI HAPA

Published by elipidius geofrey

Mkulugenzi Msimamizi wa Wanyama Pori asimamishwa kazi, uamzi huo umefanywa na Pro. Jumanne Magembe baada ya Polisi kuwakamata Raia wawili wa Uholanzi katika Uwanja wa ndege wa KIA wakiwa na Tumbili 61 wakijalibu kuwasafirisha.

STARZTZ

JIPU JINGINE MOJA LATUMBULIWA. NIMEKUANDALIA HABARI KAMILI HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974