Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
28 Mar

BAADA YA TIMU YA CHAD KUJITOA AFCON 2017, CAF WANA HAYA YAKUSEMA. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO, #NA BURUDANI

Jumatatu ya March 28 Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars ilikuwa inajiandaa kushuka dimbani kucheza Mchezo wake wa Nne wa kuwania kufuzu michuano ya Mataifa ya Mataifa ya Afrika 2017 dhidi ya Chad, Habari zilizotoka March 27 kutoka shirikisho la soka Afrika CAF ni kuwa Chad wamejitoa.Chad wasema kujitoa kwasababu ya kutokuwa vizuri kiuchumi. CAF wamekumbushia Sheria iliyowekwa January 15 2015 i naeleza kuwa kundi lolote litakalo salia na Timu tatu, halitakuwa na best looser na badala yake kinala wa kundi ndio atakuwa anafuzu michuano hiyo pekee.

STARZTZ

BAADA YA TIMU YA CHAD KUJITOA AFCON 2017, CAF WANA HAYA YAKUSEMA. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974